Jinsi ya kujisajili kwa SHA kupitia tovuti ya Afya Yangu
Fuata mwongozo huu wa kina ili kukamilisha usajili wako. Kujisajili kwa SHA kupitia Tovuti ya Afya Yangu tunakupa fursa ya kupata bima ya afya ya umma pamoja na huduma nyingine za Mamlaka ya Afya ya Kijamii (SHA). Fuata mwongozo huu wa kina ili kufanikisha usajili wako. Mwongozo wa usajili - Hatua kwa hatua: Dirisha ibukizi litaonekana likiwa na ujumbe: “JISAJILI kwa Huduma ya Afya kwa Wote (UHC) na SHA kupitia Afya Yangu.” Endelea na usajili Bonyeza ENDELEA NA USAJILI. Weka picha yako Fafanua hali ya kazi Chagua mojawapo ya chaguzi zifuatazo: …
Hatua kwa hatua: Jinsi ya kulipa SHA
Kwa watu wanaojiajiri, unaweza kulipa kupitia pesa kwenye simu, kuwasilisha kutoka kwa benki hadi bendi, au vituo vya malipo vilivyoidhinishwa. Malipo ya mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) ni sehemu ya juhudi za serikali kuhakikisha upatikanaji wa Huduma ya Afya kwa Wote (UHC) kwa Wakenya wote. Malipo ya SHA na taratibu za malipo hutegemea kama wewe ni mwajiriwa au unajiajiri. Ili kutoa malipo yako ya SHA, unaweza kutumia njia zifuatazo: 1. Malipo kupitia mwajiri: Hii inawahusu watu walioajiriwa rasmi. Mwajiri wako atakata malipo yako ya SHA moja kwa moja kutoka kwenye mshahara wako na kuuwasilisha kwa SHA. Hii ni sawa na makato mengine ya kisheria kama malipo ya uzeeni ya NSSF. 2. Malipo kwa watu wanaojiajiri: Unaweza kujisajili na kulipa kwa hiari. Malipo yanaweza kufanywa kwa kutumia M-Pesa au majukwaa mengine ya pesa za simu, hamisho la pesa kwa benki, au vituo vya malipo vilivyoidhinishwa. Huenda ukahitaji kuingia kwenye tovuti ya SHA au kutembelea kituo cha huduma kama Huduma Centre, vituo vya SHA, au vituo vilivyowekwa hospitali kwa ajili ya kujisajili na kupata maelezo ya malipo yako. Kwa watu wanaojiajiri, SHA hutumia mfumo wa kupima uwezo wa kipato (Means…
Jinsi ya kuongeza wanaokutegemea kwenye SHA
Mwongozo huu unakuonyesha kila hatua hadi kufanikiwa kuongeza na kuthibitisha wanaokutegemea ili wapendwa wako wapate huduma za afya bila usumbufu. Unaweza kuongeza: Mtoto uliyemzaa, mtoto wa kupangwa (adopted child), na watoto walio chini ya ulezi wako. Kuongeza wanaokutegemea kwenye maelezo yako ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) ni muhimu ili kuhakikisha familia yako na/au wengine wanaokutegemea wanapata huduma muhimu za afya chini ya bima yako. Mchakato huu umeundwa kuwa rahisi kwa mtumizi, na unakuwezesha kuweka na kusimamia taarifa za wanaokutegemea mtandaoni. Mwongozo huu unakuonyesha kila hatua, kuanzia kuingia kwenye maelezo yako ya SHA hadi kufanikiwa kuongeza na kuthibitisha wanaokutegemea, ili wewe na wapendwa wako mpate huduma za afya bila usumbufu. Hatua ya 1: Fungua maelezo yako ya SHA Tembelea tovuti rasmi ya SHA: https://sha.go.ke/ Ingia kwenye akaunti yako kwa kutumia nambari yako ya Kitambulisho cha Taifa (ID) na nenosiri. Hatua ya 2: Nenda kwenye sehemu ya wanaokutegemea …
Sick, poor & invisible: How Kenya’s health system keeps forgetting its most vulnerable
The tool designed to identify Kenya's poorest citizens requires them to show up, take…
Exclusive: Inside Dr Mercy Mwangangi’s first year in SHA, public backlash, fraud wars & fight to rebuild trust
From public outrage and digital failures to fraud crackdowns and billion-shilling reforms,…
Means Testing & Hustler Economy: Are we solving Kenya’s health financing problem or repackaging it?
SHA claims Proxy Means Testing shields low-income Kenyans. A closer look at…
SHA & Means-Testing: How cost of your healthcare depends on what you own
Kenya's new insurance formula is watching your assets, not your payslip. Here…
SHA’s biggest challenge isn’t the poor, but earners who refuse to pay
From file-opening fees to mystery charges, the confusion around what SHA covers…
Why some counties have high, others low SHA registration
The 2026 Kenya Economic Survey data shows that more women than men…
SHA’s Anti-Fraud System: Catching crooks or choking healthcare?
The SMS verification system is blocking treatment. Designed to stop fraud, it…


