Why Ebola survivors must wait six months before having intimate relations
Ebola can survive more than half a year in a clinically healthy…
Beyond cigarettes: Why Kenya can’t agree on vapes, pouches & smokeless options
Smoking kills around 12,000 Kenyans annually, and 2.3 million more remain hooked. Vapes and…
Hatua kwa hatua: Jinsi ya kulipa SHA
Kwa watu wanaojiajiri, unaweza kulipa kupitia pesa kwenye simu, kuwasilisha kutoka kwa benki hadi bendi, au vituo vya malipo vilivyoidhinishwa. Malipo ya mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) ni sehemu ya juhudi za serikali kuhakikisha upatikanaji wa Huduma ya Afya kwa Wote (UHC) kwa Wakenya wote. Malipo ya SHA na taratibu za malipo hutegemea kama wewe ni mwajiriwa au unajiajiri. Ili kutoa malipo yako ya SHA, unaweza kutumia njia zifuatazo: 1. Malipo kupitia mwajiri: Hii inawahusu watu walioajiriwa rasmi. Mwajiri wako atakata malipo yako ya SHA moja kwa moja kutoka kwenye mshahara wako na kuuwasilisha kwa SHA. Hii ni sawa na makato mengine ya kisheria kama malipo ya uzeeni ya NSSF. 2. Malipo kwa watu wanaojiajiri: Unaweza kujisajili na kulipa kwa hiari. Malipo yanaweza kufanywa kwa kutumia M-Pesa au majukwaa mengine ya pesa za simu, hamisho la pesa kwa benki, au vituo vya malipo vilivyoidhinishwa. Huenda ukahitaji kuingia kwenye tovuti ya SHA au kutembelea kituo cha huduma kama Huduma Centre, vituo vya SHA, au vituo vilivyowekwa hospitali kwa ajili ya kujisajili na kupata maelezo ya malipo yako. Kwa watu wanaojiajiri, SHA hutumia mfumo wa kupima uwezo wa kipato (Means…


