Jinsi ya kulipia SHA kupitia Hustler Fund
Wakenya wanaweza kuwasilisha malipo ya SHA kwa awamu ndogo za kila siku, kila wiki au kila mwezi kwa gharama nafuu. Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) imeanzisha njia rahisi, nafuu na jumuishi kwa Wakenya kuwasilisha malipo yao ya kila mwaka ya afya. Mpango huu unaojulikana kama Lipa SHA Pole Pole au Lipa Mos Mos. Unawawezesha watu nchini Kenya kuwasilisha malipo ya SHA kwa awamu ndogo za kila siku, kila wiki au kila mwezi ili kuhakikisha hakuna familia inayosalia nyuma katika kupata huduma za afya. Kwa kuruhusu malipo madogo lakini ya mara kwa mara, Lipa…
Nowhere to Hide: SHA to use mobile money, KRA, NTSA records to verify income for premiums
SHA will rely on data from KRA, NTSA, Hustler Fund, Mobile money…


